Nasian Ressy
Member
- Jul 12, 2026
- 94
- 257
Mkuu we si una mke na watoto, mbona unayuzuga huku😂Ndoa ni ukatili.....🤨
Kuzaa ni uharibifu wa muda....🙄
Watoto wanamaliza pesa ya kula bata....🤗
Zakuambiwa changanya na zakwako mkuu...😜Mkuu we si una mke na watoto, mbona unayuzuga huku😂
atakuambia hata wake za watu wanaliwa, hawashindwagi hawaPamoja na matatizo yaliyopo ndoa bado muhimu katika kuijaza dunia kama Mungu alivyoagiza.
Kitendo cha kwenda "kupiga pipe" kinaonyesha umuhimu wa ndoa maana hicho kitendo kinaitwa Tendo la ndoa.
Nitamuelewa mwaname anayekataa ndoa halafu hafanyi kabisa ila ukitafuna malaya au ukaokoteza barabarani bado inaonyesha umuhimu wake ,sasa yupi bora yule anayemuweka ndani anytime anaichapa au wewe unayeenda kuzoa barabara aliyepigwa na lundo la watu?
Ni kweli ila kuna wengine hawaliwi maana kwenye msafara wa Mamba pia kenge wamo.atakuambia hata wake za watu wanaliwa, hawashindwagi hawa