Hakuna kitu kama mbege

shansarie na wadau wengine hivi ya kopo itakuwa tamu kama ile original?
Bibi yangu lazima apate ile kitu asubuhi!!!!!!!!

Asubuhi tu mi najioni ikishafika ananawa vizuri anaenda kununua galon yake anaweka pembeni ya jiko mwenyewe anakwambaia inapata joto huku anakunywa tratiiiibu
 
Last edited by a moderator:
Usipende kusimuliwa jamani nenda kajaribu mwenyewe,
Chakula cha nyumbani tamu kuliko vyoteee:beer:😉😉
 
Haya macho ya kiutu uzima nayo! Mi si niliona bandiko linasema "Hakuna kitu kama Nyege!" kumbe "Mbege"
mawani hiyooo inaniDIPU .
 
Ni tripple action dawa ya tumbo lishe na kilevi
 
Kuworhe kindo cha mbekye pfo apaaa mburasi mbekye yeke rhorha mla
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…