Hakuna kitu kama mbege

Ina hamirojo na virutubishoa a hundred percent!!
 
nasikia siku hizi imeboreshwa unapata ya kopo
View attachment 139286

Dah shansarie hii makitu ishaingia hapa mjini ?unajua uzuri wa mbege ni lishe bora halafu ni kilevi murua !!unalewa huku unashiba...!inaokoa sana hasa kwa mabahili

Haha haa haaaa!
Imekuwa madified mpaka kwa kopo!!!!!
shansarie na wadau wengine hivi ya kopo itakuwa tamu kama ile original?
Bibi yangu lazima apate ile kitu asubuhi!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…