Hakuna kitakachodumu milele

Hakuna kitakachodumu milele

Fisiem ilishakufa kitambo sema maiti yake ndio mpaka Leo inalindwa na polifisiem kwa mitutu ya bunduki ili isizikwe!
 
Infrared haiwezi kufa bado tunatumia kwenye microwave na mitambo mingine,bluetooth bado iko hai tunaitumia kuconnect wireless devices kama spika,na vyengine.

Wikipedia haiwezi kuuwa encyclopedia sababu hata yenyewe pia ni encyclopedia.u dig?
 
Haitatokea hata siku moja maana CCM inaweza kuwa ndani ya Chadema ila Chadema haiwezi kuwa ndani CCM. CCM chama kubwa wewe timiza ndoto zako ziwe POSITIVE kwa Ujenzi na Ustawi wa Familia yako. Binafsi CCM ni Maisha yangu japo sina kadi, siku zikitoka ntakuwa mstari wa mbele.
 
Fax imeua Telex
Scanner imeua photocopy
Uongo umeua ukweli
Ukweli umeua unafiki
Unafiki umeua uadilifu
Uadilifu umeua demokrasia
Demokrasia imeua siasa
Siasa imeua taaluma.
DUNIA NDIVYO ILIVYO
 
Naona mada imebadilika ghafla 👅👅👅 watu na mahaba yao

Hhahahahahaa nimekimbia kuwaachia mada yao, niliingia tuu kuuliza je na mahaba nayo yataisha??

Kasie na Mahaba ni kama pete na kidole.

Mahaba mia mia.
 
Dah umenikumbusha BBM enzi hizooo
 
Back
Top Bottom