Hakuna kitakachodumu milele

Hakuna kitakachodumu milele

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,392
Reaction score
7,863
Whatsup imeua BBM
Youtube imeua DVD
Bluetooth imeua infrared
Xender imeua Bluetooth
CDs imeua Cassettes
Android imeua Winfows phone
Uber imeua Yellow Cab
Simu imeua Post Office
SMS imeua Barua
E mail imeua Fax
Civilization imeua Culture
Computer imeua Typewriter
E card imeua Hallmark Carf
Pesa imeua Mapenzi ya ukweli

Nini kingine kimeua?

Internet imeua Library
Google imeua Dictionary
Wikipedia imeua Encyclopedia

Siku zijazo CHADEMA itaua CCM
 
Hata mahaba hayatadumu milele....
Ntawezaje kuishi bila hayo....
 
Sijui tofauti ya mahaba na mapenzi lakini mapenzi yalikuwepo yapo na yataendelea kuwepo isipokuwa sasa hivi kama huna hela wanawake wazuri utakula kwa macho zamani walikuwa na mapenzi ya kweli saiv pesa mbele kama tai
Hata mahaba hayatadumu milele....
Ntawezaje kuishi bila hayo....
 
Sijui tofauti ya mahaba na mapenzi lakini mapenzi yalikuwepo yapo na yataendelea kuwepo isipokuwa sasa hivi kama huna hela wanawake wazuri utakula kwa macho zamani walikuwa na mapenzi ya kweli saiv pesa mbele kama tai

Ni wanaume ndo waliolea kizazi hiki cha wanawake kupenda pesa.

Mahaba yangu na Dadii ni matamu asilani.
 
Mkuu namba lazima turudishe, hakuna namna...

Mi sirudishiii namba ntaomba kama yule mtumishi aliyemng'ang'ania malaika asiondoke hadi ambariki.

Maisha matamu aiseeh hasa ukiyaishi kwa amani na furaha...
 
Back
Top Bottom