Hakuna kazi laini kama kilimo

🤣🤣🤣Pole sana pembejeo nao wajanja kumbe
 
Kilimo cha korosho ndiyo usiseme. Ni rahisi sana. Hekari moja itoa tani mbili na nusu. Jeahi likizipeleka ghalani wanakwabia wewe ni kangomba, hawakulipi kisha unalima nyingine. Ni rahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…