Hakuna jipya chini ya jua

Hakuna jipya chini ya jua

BIG THINKER

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
699
Reaction score
1,516
Wahenga siyo wajinga na makosa yao ni machache ukilinganisha na usahihi wao,,,,, Wahenga walisema "Hakuna jipya chini ya Jua" na hivyo ndiyo walivyo Watanzania na ndivyo itakavyokuwa siku zote.

Kama ilivyokuwa kwa COV19 hivyo ndivyo itakuwa kwa hii Serikali, mtapiga kelele kuja kushituka 2030.

Imeisha hiyo......
 
Wahenga walisema mwenda pole hajikwai.

Wahenga wakasema sikio la kufa halisikii dawa.

Wakaendelea kusema hakuna marefu yasiyo na ukomo.

MWISHO:-KILA JAMBO LINA MWISHO WAKE!
 
Wahenga walisema "mwenzio akinyolewa zako tia Maji"
 
Back
Top Bottom