GreatApe
Member
- Sep 20, 2013
- 48
- 6
Zipo nchi kama Tanzania lakini hakuna duniani nchi yenye siasa kama siasa ya Tanzania; dunia ina nchi 196 lakini siasa za Tanzania hakuna nchi yenye mambo kama haya yanayotokea nchini kwetu kwamba rais amekuwa ndio tafsiri ya "conflict" kwa thamani ya CCM kwenye mchakato wa katiba mpya kwamba 'he is neither bad nor good' and again 'he is neither constructive nor destructive' because he is a conflict then his action is inevitable!!!!!!!! katika hili mkuu ameingia sehemu itampa shida sana endapo wapinzani wakiishtukia strength yao katika hili.
Naomba wanaJF tufsukute zaidi katika hili......................................................hongera sana ...............
Naomba wanaJF tufsukute zaidi katika hili......................................................hongera sana ...............