Hakuna Dini inayoweza leta Amani

Kwa nini wapelekwe nje ya Gaza ? Na wapelekwe na nani ? Na kwa sababu gani wapelekwe ?

Wewe leo hii hayo unayo wawazia wapalestina ungekuwa una waziwa wewe ungekubaliana nayo kiasi gani ?
kina trump wanawaondoa gaza ijengwe upya, ni jordan na misri au somaliland na sudan kina trump wanapendekeza wapokelewe huko ili kupisha gaza kujengwa upya
 
Kuna kitu kibaya au cha uongo nimesema hapo ?
Sijatilia maanani kuhusu hilo,Kuna mahali nimesema hiki ulicho uliza ?

Hamis naomba unijibu nilicho kuuliza kama hutojali
 
kina trump wanawaondoa gaza ijengwe upya, ni jordan na misri au somaliland na sudan kina trump wanapendekeza wapokelewe huko ili kupisha gaza kujengwa upya
Kwani haiwezwi jengwa wakiwepo hapo ? Na ni lini wapalestina walihitaji msaada wa Trump na Netanyahu kujengewa makazi yao ?
 
Jf ndo app ya kipumbavu kuwahi kuiona
 
Leo.Hamisi Umepatwa na Nini 🤣🤣🤣
Leo unazikana Dini kweli ni wewe
 
Dini n Kwa ajili yakutawala wakingaa waendelee kuishi na hofu kuwa Kuna moto baaada ya kufaa ingali hakuna aliyewahi kufa akafufuka akaona huoo moto, shuwaniiiiii nyinyi wafia diniii
 
Leo.Hamisi Umepatwa na Nini 🤣🤣🤣
Leo unazikana Dini kweli ni wewe
Mbona mm siku zote msimamo wangu sikubaliani na Dini

Mimi sio mfuasi wa Dini, Mimi ni mfuasi wa Wokovu

DINI ni utapeli

WOKOVU ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu aliyepotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…