Hakuna dhambi kubwa kama kukata tamaa.

Kwa kweli asante sana kwa kunitia moyo siku ya leo
 
Usiwe na TAMAA na usikate TAMAA..............
 
Ndio maana anang'ata, kumbe kaishi sana na mifugo.
 
Kwa umri huohuo alokua nao kapita kote huko?
 
Ni Tanzania pekee ambapo KUKATA TAMAA NI DHAMBI ( kitu ambacho hata kwenye maandiko hakipo)
 
Academy kacheza saangapi? Huko jeshini kaenda saangapi na hao kuku kauza saangapi? Au umri wake aliupiga pause?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…