Imwase
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 500
- 506
Mashabiki wanamshupalia diamond kwa sababu muziki wake wanaukubali kuliko huyo linex.Sija-compare ila nimejaribu kuonesha mshangao. mashabiki wote kuwashupalia hao jamaa hapa jukwaani kila kukicha wakati binafsi sioni maajabu yoyote wanayoyafanya. wanamuacha mtu kama LINEX kaimba KIMUGINA Kilugha lakini nyimbo imeeleweka.
Na Ngalikihinja Nadhani umenielewa.