Msamiati
R I P
- Mar 6, 2011
- 1,063
- 700
Habari zenu Waungwana,
Nimeona Bora niseme chochote kumpongeza Linex. Amini usiamini tunapozungumzia International standard kwenye music LINEX ni next level.
Huyu jamaa angekuwa na kihelehele cha wakina Diamond kuwashobokea wakina Kusaga sijui wakina luge... Basi leo tungekuwa tunazungumza mengine. Yaani jamaa anajua kuandika anasauti Unique mimi naweza kumpambanisha hata na JOE PRAIZE wa South Africa.
Owesome singers siku zote Hata wakiimba lugha usiyoielewa Utaburudika, utafurahia na cha ajabu utaelewa ujumbe alioimba. Ndio uwezo wa ajabu aliofikia LINEX, Kama huamini sikiliza Nyimbo yake mpya inayoitwa KIMUGINA.
Nahisi kuna kundi kubwa la watu wasiojua music ndio maana hawakauki kutupigia kelele humu mara Diamond mara Timu alikiba, Hamjui Music, Linex Ni top singer Bongo kwa sasa.
Kunawasanii wazuri sana Hapa mjini ambao wanafanya super standard music kama wakina Barnaba, Christian Bella, Linex, Grace Matata, Maua sama Nk, Hamuwafungulii thread na kuwaanzishia timu, mnakuja kuwataja watu wasiojua mziki kama diamond. Sasa mimi ndio timu LINEX
"Usi ni katili utamu wa penzi lako, Hata kwa shingo upande sipo tayari uende zako" LINEX