akwinomsombe
Member
- Feb 6, 2011
- 8
- 0
Unaambiwa kwamba katika dunia hii kila mtu ameumbwa kwaajili ya mwenziwe. Maisha ni kuheshimiana na kupendana daima.
Du sasa hueleweki malizia basi vigezo vyako, km mm hapa nipo peke yangu na ni mwanamume natafuta mwenza sasa ww ni dume au? maana hilo jina. Mimi natafuta kabint
NI KWELI KAMA MIE NINA MPANGO WA KUISHI NA MWANA JF MMOJA TU! wengine watakua wifi na mashemeji.
Bila shaka ndo unamaanisha ombi langu umelikubali...
:laugh::laugh::laugh:Mbona mie naishi peke yangu? Sio lazima kila mtu aishi na mtu, waweza kuishi mwenyewe na maisha yakaendelea poa tu!:laugh::laugh::laugh:
NI KWELI KAMA MIE NINA MPANGO WA KUISHI NA MWANA JF MMOJA TU! wengine watakua wifi na mashemeji.
Jamani ni kweli kuishi mwenyewe isu hata mm natafuta wa kuishi naye, kama yupo ajitokeze.
Nami nakupenda wewe sana hasa konyeza yako inaniacha hoi. wewe nikubalie tu uonewats goin on here?
makubaliano na maridhiaNO?
ahh unaweza kabisa ishi mwenyewe mbona mie nimeweza na miaka yangu 50:twitch: