Si kila MTU ni mlevi wa pombe aise....kikubwa ni kuwa muwazi kwa yanayokuzidi uwezo....kuna kitu kinaitwa ETC(end of thinking capacity) na hii umkuta binadamu yeyote mambo yakimwelemeadawa pombe tu ilo pepo la kujiua linashidwa kbsa na linalegea
Mmh suicide iko very person itz within a minute@ na MTU akitaka kujiua bahati mbaya ukamstua au akasalimika hafanyi tena @ ni ngumu kumtrain MTU it z possible bt ngumu mno...mimi ninachoamini wanaojinyonga ni kwamba wanakosa uwezo wa ku tolerate stress, na huu uwezo pia unaweza kuwa trained kama vitu vingine tu.
tofautisha unywaji na ulevi.kama ujawahi ndo unatumia walau kupunguza msononeko moyoni .mtazamo tu lakini mkuuSi kila MTU ni mlevi wa pombe aise....kikubwa ni kuwa muwazi kwa yanayokuzidi uwezo....kuna kitu kinaitwa ETC(end of thinking capacity) na hii umkuta binadamu yeyote mambo yakimwelemea
Ni katika kipindi hiki MTU anafanya yafuatayo
1.kujiua
2.kubaka
3.kuua n.k
So chochote ambacho ataona suluhu anafanya.
Wengi ukiwauliza ukimfumania mkeo utafanya nn? Majibu ya wengi ni kupiga,kuua au kumwacha mwanamke...utafiti unasema 56% ya wanaume wanajua wanasalitiwa au wamewahi kuwafumania wenza wao na hawajachukua hatua yoyote zaidi ya kuyamalizia ndani tu.
sizungumzii training ya kumzuia mtu kujiua noo, nazungumzia training ya ubongo/akili ku handle stress..Mmh suicide iko very person itz within a minute@ na MTU akitaka kujiua bahati mbaya ukamstua au akasalimika hafanyi tena @ ni ngumu kumtrain MTU it z possible bt ngumu mno...
Aaaaaaaa aaaaaaa marehemu hasemwi vibaya naamini Mr alikuwa na mipango mingi sana 2018[emoji383] Leo yeye kesho wewe ambaye Leo unakaidi na kuipinga hoja yangu@Hahaha kwani mleta mada umewahi kujutia kufa?! Umewahi kujiua?! Sasa unaleta mada na ushahidi gani kwamba hakuna anayependa kujiua?!
Labda hupata gratifying relief wakijiua wewe unasema hawapendi kivipi?! Jaribu ulete mrejesho otherwise utashitakiwa kwa kutoa ushuhuda wa uongo.
sizungumzii training ya kumzuia mtu kujiua noo, nazungumzia training ya ubongo/akili ku handle stress..
suicide ni zao la uncontrolled stress
hata mm leo niliwaza kujiua bora nife tuNi rahisi sana kuona walio hai wakimlaumu marehemu aliyejitoa uhai.
Kumbuka hata huyo unayemlaumu possibly amewahi kulaumu as u do.
Hii dunia ina mambo mengi sana ambayo husipokuwa makini na muwazi kwa rafiki au ndugu wa karibu utakuwa mmoja wao.
Amini nakuambia kuna watu wengi sana ambao huwezi kufikiria wala kudhania uwa wanafikiria kujiua.
Changamoto za maisha ni nyingi sana kadili umri unavyosonga mapenzi+madeni upelekea wengi sana kujiua.
Tuombe Mungu atusaidie@Tusilaumu huwezi jua inaweza ikatokea kwako ni shetani tu anatuzidi maarifa.
OkeyExactly no 100% sijafikia huko bado,,
Aaaaaah aaaaah aaaaah kwa maisha ya sasa wengi wanawaza sema ile hawasemi.hata mm leo niliwaza kujiua bora nife tu