Hakuna ambaye akifa ni sawa na mwingine

Usifananishe impact ya hao na Tundu Lissu japo wote ni binadamu!

Mwanangu leo hajalala kisa Tundu Lissu.

Tusiandike mengi tuishie hapo.
What impact?? Kwamba yeye sio binadamu wa kawaida wengine wakifa sawa?? Hii mioyo ya unafiki Mungu aturehemu
 
Jiandae na mashambulizi Madam Mwajuma.....maisha bila unafiki hayaendi! Kuna watu wako perfect humu ili wewe uwe binadamu inabidi 'ukubaliane' na mitazamo yao, ukiwa tofauti wewe ni mjinga,mpumbavu etc...
Wanajishambulia wenyewe na ujinga wao, wanajifanya hawaoni mantiki ila mioyoni waiona.
 
Unajichosha na hao wameelewa sana moyoni ndio maana wanaropoka hahaha.
 
Jana nilipost uzi kama huu,ukafutwa sijui mod nao wanakuwaga na mawazo gani wakati mwingine hawaeleweki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona leo Madam Mwajuma umeamua kuuma na kupuliza !mie akifa babu yangu hamtalia kwasabb hammfahamu !lakini siku akifa MAGUFULI mtalia !
 

KWANI umelazimishwa we bitch, ,,mlilie bi mkubwa wako aliefia corner bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…