Hakuna ambacho SIMBA hatujafanya

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,791
Reaction score
830,944
Hakuna ambacho hatujafanya, SIMBA SC ni level zingine kabisaaaaaaπŸ”₯πŸ”₯

Hii ilikuwa klabu Bingwa mtu alikula week na ilikuwa Group stage sio hatua za Vidudu na pia team iliokula hizo week yaan 7 wooote walikuwa wametimia hakupewa πŸŸ₯ mtu hata mmoja

Hahahhahhahha Aiseee acha kwanza ncheke maana Watu wamepiga boom πŸ’₯ mortuary halafu wanajisifu wameua duh kweli Mgumba kapata 🀰 basi mate mji mzima πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ilikuwa bora
Mlikuwa bora.
Sasa?
Leo?
🀣🀣🀣🀣
 
Ni kweli hakuna kitu hamjafanya naona ubingwa wa caf mlishachukua! mara hii tutawafundisha tunauchukuaje. Yanga bingwa itawaonyesha kombe tunalichukuaje.
 
Yule kipa wenu mlimpiga goli 7? Sasa Yanga wakipita naye msisingizie bahasha za GSM.
 
Mavi ya kale,,,,kwasasa imebaki sanda tu inapepea,,,,,,,,marehemu alikua anajeuri sana
 
Onyesheni hiyo medali ya CAF πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Siku mkipata hata medali ya CAF mje mzungumze na wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…