tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
Ukimtizama nguvu anazotumia kubaki madarakani, hasira anazoonesha akipata jukwaa, majuto anayoyaeleza akihutubia, basi utagundua kuwa, anajua hakubaliki ndani na nje, anatumia matukio na wajibu wake kujisifia na kujieleza kana kwamba hatujui nn anapaswa kufanya.
Kushabikia uvunjifu wa sheria na utawala wa maagizo, inaonesha ana kinyongo na wakosoaji.
Lakini hii haitamuondolea kutokukubalika, kwa sababu kuna tofauti kati ya mabavu na busara, ubabe na ustaarabu, ujinga na kuelimika.
Haihitaji maelezo kuonekana kiongozi bora, bali matendo yako yanatudhihirishia tulipokosea.
Mamlaka na madaraka vinapita. Tenda mema.