Mkuu usiumize kichwa kwa hiyo misukule! Huwa haina reasoning. Wenyewe wanaishi kwa maelekezo ya wakubwa zao. Na pia jukumu lao kubwa ni kuabudu na kusifu tu.Inakuuma nini mkuu? Mbona radio one kila siku kunamatangazo ya vifoo.
Kuna watu inatusaidia kujua marafiki/jamaa waliofariki na tulipotezana nao mda mrefu.
Kama jana nilipata habari ya Peter mamiro aliekufa na mkewe.
Achana na kuendekeza siasa kila mahali. Wengine wamekufa kwa ajali sio kila mtu ni corona.
Bibie upo? Ulipotelea wapi eti? Karibu sana jukwaani. Binafsi nilikumiss sana.....!!!!!Nikifa NJOO UNIZIKE mkuu!
Meja kunta alizusha kifo chake ili afaidike na nini?Hofu yako ni kwamba tunazusha? Tuzushe kifo cha Hakimu ili tupate faida gani?
Huna hojaMeja kunta alizusha kifo chake ili afaidike na nini?
Hoja ni kwamba kumekua na wimbi kubwa la watu kuzusha ama kuzua taharuki kwa kuhusisha vifo vya watu na hili janga, kama haujui chanzo cha kifo chake umekuja mbio kuripoti kwa malengo gani?Huna hoja
Je hajafa? Hoja yako ilikuwa kuzusha vifo, pamoja na moderator kuongeza nyama bado huamini kama hatuzushi au unataka mapambano ya kisiasa au kwa vile mimi niliyeleta hii taarifa natokea Chadema, mbona jana nimekuletea Taarifa ya Ntagazwa kufariki na amefariki kweli, sababu za wewe kutoniamini ni zipi na wewe ni nani hasa hadi kudhani usipoamini wewe basi taarifa inakuwa si ya kweli?Hoja ni kwamba kumekua na wimbi kubwa la watu kuzusha ama kuzua taharuki kwa kuhusisha vifo vya watu na hili janga, kama haujui chanzo cha kifo chake umekuja mbio kuripoti kwa malengo gani?
Mkuu aiseeehh ...kuna mtu anakwenda KUAIBIKAKuna code nmepewa mitaa ya Mbezi beach kwa Zena.. kuna jambo napo
Ova
Wewe unapenda kuleta habari za kifo na kuongeza Chumvi. NiendeleeAliyekuwa Hakimu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na baadaye kuhamishiwa Mtwara, Geofrey Mwambapa amefariki Dunia.
Hakujatolewa taarifa zaidi za ugonjwa wake wala hospitali aliyofia
Pumzika kwa amani
===========
Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake aliyekuwa Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mahakama ya Wilaya ya Nanyumbu-Mtwara, Marehemu Godfrey Mwambapa (pichani) kilichotokea leo Februari 11, 2021.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mahakama ya Wilaya ya Nanyumbu zinasema kuwa marehemu alifikwa na umauti leo saa moja (1) asubuhi alipokuwa akipelekwa hospitali ya Wilaya ya Nanyumbu.
Kwa sasa msiba upo nyumbani kwa marehemu Nanyumbu-Mtwara huku taratibu za kusafirisha mwili kuelekea Mbeya zikifanyika.
Mahakama inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wao.
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
========
Hakimu Mwambapa katika uhai wake alisikiliza na kutoa hukumu katika kesi mojawapo zilizokuwa zinaikabili JamiiForums na Viongozi wake mahakama ya Kisutu. Hakimu Mwambapa aliwaachilia huru Maxence Melo na Micke William kwa kuona hawana Hatia. Baadae hakimu Mwambapa alihamishiwa mahakama ya Mtwara
Zaidi, soma:
Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru
View attachment 1699758
Huyu Erythrocyte naye tunamuombea kwa Mungu amchukue ili habari zake nazo ziwekwe chumvi.Hoja ni kwamba kumekua na wimbi kubwa la watu kuzusha ama kuzua taharuki kwa kuhusisha vifo vya watu na hili janga, kama haujui chanzo cha kifo chake umekuja mbio kuripoti kwa malengo gani?
Wanarogana sanaHii tasnia nayo wanapukutika jamanii,.rip
Kumbe aliadhibiwa kwa kuwaachia huru!Aliyekuwa Hakimu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na baadaye kuhamishiwa Mtwara, Geofrey Mwambapa amefariki Dunia.
Hakujatolewa taarifa zaidi za ugonjwa wake wala hospitali aliyofia
Pumzika kwa amani
===========
Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake aliyekuwa Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mahakama ya Wilaya ya Nanyumbu-Mtwara, Marehemu Godfrey Mwambapa (pichani) kilichotokea leo Februari 11, 2021.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mahakama ya Wilaya ya Nanyumbu zinasema kuwa marehemu alifikwa na umauti leo saa moja (1) asubuhi alipokuwa akipelekwa hospitali ya Wilaya ya Nanyumbu.
Kwa sasa msiba upo nyumbani kwa marehemu Nanyumbu-Mtwara huku taratibu za kusafirisha mwili kuelekea Mbeya zikifanyika.
Mahakama inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wao.
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
========
Hakimu Mwambapa katika uhai wake alisikiliza na kutoa hukumu katika kesi mojawapo zilizokuwa zinaikabili JamiiForums na Viongozi wake mahakama ya Kisutu. Hakimu Mwambapa aliwaachilia huru Maxence Melo na Micke William kwa kuona hawana Hatia. Baadae hakimu Mwambapa alihamishiwa mahakama ya Mtwara
Zaidi, soma:
Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru
View attachment 1699758
Hakimu Mwambapa katika uhai wake alisikiliza na kutoa hukumu katika kesi mojawapo zilizokuwa zinaikabili JamiiForums na Viongozi wake mahakama ya Kisutu. Hakimu Mwambapa aliwaachilia huru Maxence Melo na Micke William kwa kuona hawana Hatia. Baadae hakimu Mwambapa alihamishiwa mahakama ya Mtwara
Alikuepo Dodoma siku ile ya kuadhimisha Uhuru wa Mahakama? Kama alikuweopo basi huyu atakua wa tatu tangu juziAliyekuwa Hakimu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na baadaye kuhamishiwa Mtwara, Geofrey Mwambapa amefariki Dunia.
Hakujatolewa taarifa zaidi za ugonjwa wake wala hospitali aliyofia
Pumzika kwa amani
===========
Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake aliyekuwa Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mahakama ya Wilaya ya Nanyumbu-Mtwara, Marehemu Godfrey Mwambapa (pichani) kilichotokea leo Februari 11, 2021.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mahakama ya Wilaya ya Nanyumbu zinasema kuwa marehemu alifikwa na umauti leo saa moja (1) asubuhi alipokuwa akipelekwa hospitali ya Wilaya ya Nanyumbu.
Kwa sasa msiba upo nyumbani kwa marehemu Nanyumbu-Mtwara huku taratibu za kusafirisha mwili kuelekea Mbeya zikifanyika.
Mahakama inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wao.
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
========
Hakimu Mwambapa katika uhai wake alisikiliza na kutoa hukumu katika kesi mojawapo zilizokuwa zinaikabili JamiiForums na Viongozi wake mahakama ya Kisutu. Hakimu Mwambapa aliwaachilia huru Maxence Melo na Micke William kwa kuona hawana Hatia. Baadae hakimu Mwambapa alihamishiwa mahakama ya Mtwara
Zaidi, soma:
Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru
View attachment 1699758
Hii ni hatari ikiwa waTanzania wanapuputika namna hii .Alikuepo Dodoma siku ile ya kuazimisha Uhuru wa Mahakama? Kama alikueopo basi huyu atakua wa tatu tangu juzi
Duuh waliotangulia ni kina nani!?Alikuepo Dodoma siku ile ya kuazimisha Uhuru wa Mahakama? Kama alikueopo basi huyu atakua wa tatu tangu juzi
Hii tasnia nayo wanapukutika jamanii,.rip