musa patrick
Member
- Jun 12, 2016
- 13
- 6
Ni wabongo wa chache wakimkakati.Mleta mada subiri matusi ya kila aina baada ya andiko hili
Ukitaka wabongo wakusapoti unatakiwa kuuponda ukweli na kusfia uongo
yaan sijui unaandk nnNi sawa lakini ujue kila mtanzania anamuangalia yeye kazi ya uongozi bwana ni kipaji na tambua huwez kurekebisha kila idara ila kwa jinsi anavyoongoza 90% anafanya vizur just imagine watanzania tupo zaidi ya milioni 50 na kila mtu hapo anataka apate huduma sawa na mwingine kweli hata kama ni wewe ingekuwa vip ,unanunua ndege wanalaum utamsikia eti ananunua ndege yeye ataipanda lini ajuai kwamba asipo ipanda tutapata kodi kwa walioipanda na kodi hizo zitafanya miladi mingine kama barabara shule nk, na wewe utanufaika na hivyo na hapo utakuwa umekwea ndege kiaina
Upo sawa sisi tumebahatika sana, Mungu itabidi amshukuru kiongozi wetu Malaika Jiwe kwa kazi yake kuu kweli dunia hajawai kutokea kama yeye na nikudokezee habar tuu hivi sasa tayari amechaguliwa kuwa kiongozi wa Malaika.Kwanini nasema hivyo wana jamvi Mimi binafsi nimejaribu kuangalia nchi za ukanda wetu huu wa Afrika sijaona Kiongozi mchapakazi kama mzee MAGU Raisi wetu ukibisha utakuwa ujitambui na hakika unatakiwa kuombewa kwa kutojitambua na kuona neema hii tulioletewa na mwenyezi mungu Hakika Tumtunze kwa kumpa sapoti kwani bado hana mazuri yakulitendea haki Taifa letu .
Iwe tunampenda au hatumpendi taifa hili tulichelewa mno kumpata raisi mwe hulka kama ya Magufuli hivyo tashangaa sana tukija kikiacha hichi kichwa kiende kwa kigezo cha democraia.Kwanini nasema hivyo wana jamvi Mimi binafsi nimejaribu kuangalia nchi za ukanda wetu huu wa Afrika sijaona Kiongozi mchapakazi kama mzee MAGU Raisi wetu ukibisha utakuwa ujitambui na hakika unatakiwa kuombewa kwa kutojitambua na kuona neema hii tulioletewa na mwenyezi mungu Hakika Tumtunze kwa kumpa sapoti kwani bado hana mazuri yakulitendea haki Taifa letu .
Mzee anaweza kuwa na nia nzuri Ila maamuzi yake mengi yanaumiza wananchi, halafu ana upendeleo, Kuna MDA anakuwaga na roho mbaya, matamshi ya kukera kwa wanachi wake wenyewe... Ametangeneza double standard Kuna kikundi Cha watu wachache wanapiga madili Ila hawaguswi na yeyote na wanafanya kila baya watakalo na Sheria haiwagusi, haeshimu utawala wa Sheria Wala sheria za manunuzi, hizi ni baadhi tu haya yanaweza kumfanya awe rais mbadhilifu kuliko wote waliopita mwisho wa utawala wake
MKUU WA MALAIKA WOTEEIwe tunampenda au hatumpendi taifa hili tulichelewa mno kumpata raisi mwe hulka kama ya Magufuli hivyo tashangaa sana tukija kikiacha hichi kichwa kiende kwa kigezo cha democraia.
Wanyarwanda mnakazi sanaIwe tunampenda au hatumpendi taifa hili tulichelewa mno kumpata raisi mwe hulka kama ya Magufuli hivyo tashangaa sana tukija kikiacha hichi kichwa kiende kwa kigezo cha democraia.