Hakika nitakapooa, nitaoa mwalimu

Mh! Labda ukaoe mwalimu wa zamani wa leo hawana hizo sifa.
 
Hiyo no 2. Umenigusa niliwahi kuwa na demu mwalimu yaani hajui kuvaa vizuri hata akiingia dukani akichagua nguo ni vituko!
 
Teh teh teh teeeh!! Hivi wewe wanawake hawanaga jema kwako?? Itabidi tumtafute huyo alokuumiza aje akuombe msamaha.
wapo walio na jema tena wengi tu. Nafikiri unataka uone nikiwa nasifia mwanamke ambaye hana sifa ya kusifika. Kumbuka nmekwambia sio waalimu wote.

Sijawahi kuumizwa na mwanamke na mpaka hapa nilipofikia nakiri sitokujakuumizwa na mwanamke.
 
Teh teh teh teeeeh!! And the story goes on... and on..... and on...
 
Kwann mkuu nataka kuoa Nurse,,nahis afya ya My family itakuwa na uangaliz
kuoa nurse pia ni vizuri ila uzingatie aina ya kazi yako. isije ikawa wewe ni mlinzi - mchana uko lindoni, waifu nyumbani, usiku uko nyumbani waifu shift ya usiku. Utachanganyikiwa bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…