Dereva wa Kirikuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 751
- 625
Kama wewe ulimgonga Mwl basi sio wote wanaofanya hivyoUnawasema waalimu wapi?
Hahahaaa! Usilolijua tabu kweli.
Waalimu hawa wanamegwa na madreva haisi na madreva wa malori?
Hakuna mtu rahisi kama mwalimu sema tu ugongwaji wao wanajificha.
Tuulize sisi tunaosoma na hawa mabinti(waalimu tarajali)
1.wengi wao wana poor financial background hivyo ni rahisi kulaghaiwa hasa akikutana na mwanaume materialist.
2.hawako updated na fashion kama mavazi,na kutengeneza mionekano Yao hivyo wanakuwa mizigo kutoka nao
3.ukiwa na kazi ya kukukeep busy utamegewa sana sana sababu wapo free
4.jiandae kujenga ukweni ulimuona
5.jiandae kuwa na extended type of family
Unawasema waalimu wapi?
Hahahaaa! Usilolijua tabu kweli.
Waalimu hawa wanamegwa na madreva haisi na madreva wa malori?
Hakuna mtu rahisi kama mwalimu sema tu ugongwaji wao wanajificha.
Vyuo vyenye dess Code kama Udom kata universityKijana unasemea walimu tarajali wa ngazi gani na chuo gani? Hasa namba 2 hapo...
Kama wewe ulimgonga Mwl basi sio wote wanaofanya hivyo
Erica mwaisumo haya ninayoongea sio kwamba naongea kwa mtu mmoja, ila waalimu asilimia kubwa ni rahisi sana, kufikia tar 15 mwlm hoi, haoo hata hela ya nauli ya kuendea kazin inasumbua hapo ndipo wanatafunwa vibaya sana, japo sio wote, kuna waalimu humu ni majembe mno. Ila wengi wapo hoi.
Sio kila mwenye koti ni daktari...wengine wauza nyamaKwanza..Wajituma,sio tegemezi na ombaomba sababu naelewa umuhimu wakujitafutia na kuwajibika kama binadamu wanavyopaswa..
Pilii..Wanaheshma kwa wanaume kama walivyo na heshma kwenye taaluma zao,wanajua nini chakusema na wakati wakukisema bila kusahau namna yakukiwasilisha..
Tatu..Wengi wao wana Hekma na Busara sana tena wapo soft and kind in nature na wengi ndoa zao hudumu(Logical)
Nne..Hawazeeki mapema/upesi hapa ninahuakika na mtaniunga mkono..
Tano..First-ladies hasa Tanzania, hapa ndopatamu sababu namie Magogoni napatamani..
__Leo ngoja tuwasifie wanawake zetu sababu tunawapondeaga sana..
Huku sisi tunaita walimu ni maharage ya mbeya maji Mara moja. Kati ya wafanyakazi Malaya na wepesi wakugawa k ni waalimu wa tanzaniaKwanza..Wajituma,sio tegemezi na ombaomba sababu naelewa umuhimu wakujitafutia na kuwajibika kama binadamu wanavyopaswa..
Pilii..Wanaheshma kwa wanaume kama walivyo na heshma kwenye taaluma zao,wanajua nini chakusema na wakati wakukisema bila kusahau namna yakukiwasilisha..
Tatu..Wengi wao wana Hekma na Busara sana tena wapo soft and kind in nature na wengi ndoa zao hudumu(Logical)
Nne..Hawazeeki mapema/upesi hapa ninahuakika na mtaniunga mkono..
Tano..First-ladies hasa Tanzania, hapa ndopatamu sababu namie Magogoni napatamani..
__Leo ngoja tuwasifie wanawake zetu sababu tunawapondeaga sana..
Vyuo vyenye dess Code kama Udom kata university