Nashindwa kuelewa huyo mungu anaesema atatulimda dhidi ya corona anashindwa nini kumlinda yeye aachane na nyomi ya walinzi?
Yeye amesema haogopi corona mungu yupo, sasa huyo mungu anawezaje kumlinda dhidi ya corona na akashindwa kumlinda dhidi ya maadui zake wengine?
Gwajima anasema mungu atatulinda huku ana walinzi wamejaa hadi kanisani, huyo mungu ambae hawezi kumlinda hata akiwa kanisani anaombea waumini atawezaje kutulinda dhidi ya corona?