[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usichokijua wasanii wanashindwa kufuata hiyi kanuni lait ningekuwa mwanamziki ninge trend mpaka nakufa singechuja unaimba nyimbo ngumu hata kunakili unategemea upate shavu kizazi hiki cha vichwa panzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijui kwanini nilimkubali from the beginning nina nyimbo zake nyingi sana hatua inayomfanya kuwa moja ya wasanii wachache sana wa Bongo ambao nyimbo zao zipo kwenye simu ukiachana na Diamond,Alikiba,Conboi na Nuru the light hawa ndio wasanii pekee wa bongo ambao nina ngoma zaoNipo mahali hapa, wimbo wa Jay Melody Nakupenda unapigwa.
Hii imenisukuma niandike chochote, hakika kutoka ni suala la muda tu. Huyu dogo wakati anaanza nilikuwa namuona anapoteza muda tu, lakini sasa wimbo wake umekuwa wimbo wa taifa.
Kama mwaka jana Marioo alivyoupiga mwingi na Bia Tamu, huu mwaka nauona ni wa Jay Melody.
Hakika nchi hii ina vipaji vingi ila havipati nafasi.
Sikujua hili, nikajua Marioo ndo anamuandikiagaAmemuandikia sana nyimbo Nandy sasa ni zamu yake kujiandikia mwenyewe...
Wimbo wangu bora kabisa kwakeUnaujua huo?