MUSIGAJI JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 2,261 Reaction score 2,744 Sep 21, 2015 #21 mjepo said: Lowasa wenzake ni mafisadi wenzake hakuna mpiga kura ambaye yupo na fisadi Lowasa. Click to expand... Mkuu mimi ni mpiga kura halali na nimehakiki taarifa zangu na nitampigia kura
mjepo said: Lowasa wenzake ni mafisadi wenzake hakuna mpiga kura ambaye yupo na fisadi Lowasa. Click to expand... Mkuu mimi ni mpiga kura halali na nimehakiki taarifa zangu na nitampigia kura
MAGALEMWA JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 6,413 Reaction score 4,889 Sep 21, 2015 #22 mjepo said: Lowasa ndiyo alikuwa fisadi nadani ya ccm pamoja na wenzake aliotoka nao kwenda kwa majambazi wenzake. Click to expand... Jambazi unalo Ikulu unamdanganya nani asiyelijua hilo. Na ndiye kawaharibia kumweka pombe ili ashikilie remote. 25 OCTOBER DELETE CCM
mjepo said: Lowasa ndiyo alikuwa fisadi nadani ya ccm pamoja na wenzake aliotoka nao kwenda kwa majambazi wenzake. Click to expand... Jambazi unalo Ikulu unamdanganya nani asiyelijua hilo. Na ndiye kawaharibia kumweka pombe ili ashikilie remote. 25 OCTOBER DELETE CCM
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,348 Reaction score 26,145 Sep 21, 2015 #23 Mmmmmh
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Sep 21, 2015 #24 Wana macho wanajifanya hawaoni,ni maskini wanajifanya matajiri, waasisi wa ufisadi wanajifanya waadilifu,wanaua tembo wanajifanya hawajui muuaji.Maadam wamejaliwa kutambua nyakati na majira bila shaka wameshatambua nyakati hizi siyo za kipindi kile :A S 41: mjepo said: Kwisha habari yake akafanye kazi zake za ufisadi tu. Click to expand...
Wana macho wanajifanya hawaoni,ni maskini wanajifanya matajiri, waasisi wa ufisadi wanajifanya waadilifu,wanaua tembo wanajifanya hawajui muuaji.Maadam wamejaliwa kutambua nyakati na majira bila shaka wameshatambua nyakati hizi siyo za kipindi kile :A S 41: mjepo said: Kwisha habari yake akafanye kazi zake za ufisadi tu. Click to expand...
nyawara Member Joined Apr 10, 2015 Posts 49 Reaction score 8 Sep 21, 2015 #25 Unashida wewe nguzo ni kwako
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,295 Reaction score 103,507 Sep 21, 2015 #26 Lowasa hakuwa mjinga kuhama ili aje ahaibike baadae... alicheza namba na kuona zinalala upande wake na hivyo yeye ndio atakuwa winner.. na hilo ndilo sababu aliondoka CCM... yeye pekee ni brand tosha
Lowasa hakuwa mjinga kuhama ili aje ahaibike baadae... alicheza namba na kuona zinalala upande wake na hivyo yeye ndio atakuwa winner.. na hilo ndilo sababu aliondoka CCM... yeye pekee ni brand tosha
F fososhoo Senior Member Joined Aug 10, 2015 Posts 164 Reaction score 36 Sep 21, 2015 #27 Ni mpango wa Mungu kumpata mtu sahihi kwa wakati sahihi. Hakika Lowassa atai push Tz mbele kwa kiasi kikubwa.; & That's FACT
Ni mpango wa Mungu kumpata mtu sahihi kwa wakati sahihi. Hakika Lowassa atai push Tz mbele kwa kiasi kikubwa.; & That's FACT