Mkuu, katika habari yako kuna jambo limenishangaza, kwahiyo mlikuwa mnamkimbiza hospitali mkagundua amefariki mkaamua kurudi nae nyumban? Ni nani alithibitisha kwamba amekufa?
Mimi hili la kuthibitisha ndugu yako amekufa na sio Daktari ndio limenishangaza na wala sio hiyo kauli, rushwa ni kawaida kwenye nchi yetu kwa sasa.