Aiseh! NDIO maana jemedari makonda ameanza kazi rasmi!atumbue majipu kama hayo!!
Babu hela za moto ?Pole kumpoteza mpendwa wako.
Huduma nyingi Nchi hii inatolewa kwa kutoa rushwa. Hasa hospitali za Serikali, Trafiki, Mahakamani n.k
Kuna siku nilitaka niwafukuzishe kazi maaskari fulani wa barabarani kwa kuendekeza rushwa, bahati roho ya huruma iliniingia. Maana nilikuwa na hela za Moto siku ile zaidi ya laki 1.5.
Nimepanga wakiendelea, nitawashikisha hela za moto hasa Maaskari kipande cha Mikumi hadi Makambako.
Haha ....sio hela za manyoka MkuuBabu hela za moto ?
Umenistua huo msemo wanautumia hapa nilipo kumaanisha hela za masharti .
Askari ukitaka wakuheshimu siku jitoe ufahamu wajaze kwenye kumi na nane zako utakuja kujua askari wanaombaga msamaha na ni wapole sana
Yeye kama nani anatumbua majipu kama hayo? Kuanzia lini Katibu wa uenezi au msemaji wa chama akawa na mamlaka ya kumtumbua Mtumishi wa umma. Baba yako kapata hasara kwa kweli.Aiseh! NDIO maana jemedari makonda ameanza kazi rasmi!atumbue majipu kama hayo!!
Sawa sawa .Haha ....sio hela za manyoka Mkuu
Nina access ya kupata hela za moto za Takukuru, kwahiyo ilikuwa rahisi kuwapa na kuwafukuzisha kazi.
Kuna siku waniliotea Road mara 4, alafu kote wanataka hela utasema waliziwekaSawa sawa .
Hiyo access ni nzuri maana wanasumbua sana road
Anhaa wanasumbuaga sana wanabuni hata kosa la uongo .Kuna siku waniliotea Road mara 4, alafu kote wanataka hela utasema waliziweka
Ukifanya hivyo, wengi watabaki bila ajiraAnhaa wanasumbuaga sana wanabuni hata kosa la uongo .
Dawa yao ni kuwafukuzisha kazi tu hamna namna na ukizingatia ajira zao zimeandikwa kwa penseli basi hadi raha
Hiyo access sinayo japo nina uwezo wa kuwazingua ila kwangu mimi wangeondoka wengi kazini maana ni wasumbufu sana .
Wewe ndugu yangu Ramani na vichochoro vya Tanganyika usilinganishe na Mwananyamara.Anayetakiwa kuthibitisha kifo cha mtu ni daktari, waswahili huwa mnazika hai waliozimia kwa ujuwaji.
Mtu anapofariki kuna process ya tangazo la kifo na kibali cha mazishi ili baadaye uprocess death certificate, halafu utashangaa na wewe naye unajiita msomi huku unafanya mambo kienyeji.
Kwa hiyo kama wana usafiri wao ulitaka mpaka wakubembeleze na kukulazimisha uwachangie nauli? Acha kukariri dada.Wewe na mkeo mna mioyo migumuuu .... njiani mkaamua kurejesha mwili nyumbani na kulala nao ... kisha kufanya maamuzi ya kusafiri kesho yake (hongereni manake mliweza kuwa na fedha za akiba na watu wa karibu walowasaidia).
Poleni
Chai ya pili pili nayo ni tamuu
Hii ni chai. Mtu hawezi kumrudisha akiwa njiani mgonjwa anayempeleka hospital eti amefariki. Big no. Kwanza kile kiwewe unachokuwa nacho hutaamini kama amefariki na utataka tu kumfikisha hospital.Anayetakiwa kuthibitisha kifo cha mtu ni daktari, waswahili huwa mnazika hai waliozimia kwa ujuwaji.
Mtu anapofariki kuna process ya tangazo la kifo na kibali cha mazishi ili baadaye uprocess death certificate, halafu utashangaa na wewe naye unajiita msomi huku unafanya mambo kienyeji.
Unabisha kitu ambacho hujui. Ni hivi: unaweza kudhani mgonjwa amefariki kumbe amezimia. Sasa kitendo cha ku-assume amefariki na kusitisha huduma kinafanya afariki kweli. Ina maana kwamba kama ukimpa huduma mapema atazinduka.Wewe ndugu yangu Ramani na vichochoro vya Tanganyika usilinganishe na Mwananyamara.
Mtu kazima saa 4 usiku,wakasafirisha asubuhi bila kusikia wala kuona akitikisa kidole,tuseme walizika siku ya tatu baada ya kuwa amezima,jumla damu aliyopoteza bado alikuwa hai?
Yawezekana hayo madai yako yakawa kweli kwa baadhi ya matukio na hasa kwa Waarabu na wanaofanana nao mtu akizima ndani ya masaa 6 yuko chini ya futi 6 lkn kwa tulio wengi ambapo maiti km haivuji lazima ikae siku 2 au 3 tukisubiriana,wangekuwa wamesha fufuka wengi sana.