HAKIKA: Juventus ikimfunga Madrid UEFA naitoa nyumba yangu bure.

Tusubiri tuone...mwezi ujao si mbali.
 
Kuna ''taboo'' ya Bingwa Mtetezi kuchukua Ndoo ya UCL back-to-back. Juventus atawabwaga wale jamaa. Pia beki ya Madrid inavuja kimtindo na kuna hatihati wakapokea kichapo.
 
Kuna ''taboo'' ya Bingwa Mtetezi kuchukua Ndoo ya UCL back-to-back. Juventus atawabwaga wale jamaa. Pia beki ya Madrid inavuja kimtindo na kuna hatihati wakapokea kichapo.
Juve hataweza kumpiga Madrid kwenye UEFA mkuu.
 
Weka picha ya hiyo Nyumba nisije bet elfu 50 kumbe INA thaman said ya hiyo kibanda
 
Labda kama unatania Ila kiuhalisia Madrid anakufa June,3
 
Mkuu hakuna kiungo hovyo kama ya Juve tokea aondoke Pogba.

Yaan ball position wataachwa mbali na bado watapigwa goli kuanzia 3.

Cr7 kama kawa....!
Timu imefika fainali unaiita mbovu? Timu imemchakaza Barcelona unaiita Mbovu? Jiandae kupata maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…