HAKIKA: Juventus ikimfunga Madrid UEFA naitoa nyumba yangu bure.

Habarini Wadau,

Kwa mshabiki nguli yeyote wa soka (Die hard fan) wa Juventus namkaribisha tu bet.

Mimi ninaweka nyumba yangu kubwa mezani na yeye aweke elfu 50 tu.

Hivi vibibi vya Turin ndio vimeishia kuipiga Lazio...ila kwa Madrid wanaenda kufunzwa adabu hao watoto.

Anybody to bet ?


Nyumba ni mali ya familia bwana, wewe kacheze kamali huko sportbetting na uchezee gari yako sio nyumba!
 
Mkuu umepima ugonjwa wa moyo kwanza....maana unaweza kufa na nyumba hujakabidhi..:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom