mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
hao viongoz wametokea kwenye mfumo gani?Tatizo siyo Katiba --- tatizo ni viongozi. Tatizo siyo Sisiemu -- tatizo ni viongozi. Tatizo siyo chama --- tatizo ni viongozi. Tatizo siyo nchi -- tatizo ni viongozi. Tatizo siyo majumba, mabenzi wala nini --- tatizo ni Bi Mkubwa. Umenielewa sasa!???
Mkuu mimi ni ccm lialia na ni mwanachama wa kawaida,ila tunahitaji mabadiliko ya fikra ndani ya chamaTangu lini ulikuwa mwanaccm ww bavicha
Tatzo msoga nako mbaliTatizo siyo Katiba --- tatizo ni viongozi. Tatizo siyo Sisiemu -- tatizo ni viongozi. Tatizo siyo chama --- tatizo ni viongozi. Tatizo siyo nchi -- tatizo ni viongozi. Tatizo siyo majumba, mabenzi wala nini --- tatizo ni Bi Mkubwa. Umenielewa sasa!???
Pro Magufuli mtakufa kwa kihoro kubalini mzee baba is no moreTatizo siyo Katiba --- tatizo ni viongozi. Tatizo siyo Sisiemu -- tatizo ni viongozi. Tatizo siyo chama --- tatizo ni viongozi. Tatizo siyo nchi -- tatizo ni viongozi. Tatizo siyo majumba, mabenzi wala nini --- tatizo ni Bi Mkubwa. Umenielewa sasa!???
Pro Magufuli kubalini mzee baba is no moreTatzo msoga nako mbali
Mkuu huku kujengeana majumba ni utaratibu tu(sina uhakika kama upo kwenye katiba), Haya yote yote hayalisaidii taifa lazima kufanyike mabadiliko hasa ya kifikra ndani ya chamaHivi wabongo tukoje?? Jumba hili alienda kulikagua aliyekuwa rais wa awamu ya tano marehemu JPM(R.I.P.) na ilitangazwa na kuoneshwa na vyombo mbalimbali vya habari. Cha ajabu hatukuona malalamiko ya aina yoyote. JPM ameondoka kelele kibao. Ilikuwa ni uoga au ni unafiki unazingua?
hao viongoz wametokea kwenye mfumo gani?
chama gani? na yuko hapo kwa katiba ipi?
Pro Magufuli mtakufa kwa kihoro kubalini mzee baba is no more
Mkuu huku kujengeana majumba ni utaratibu tu(sina uhakika kama upo kwenye katiba), Haya yote yote hayalisaidii taifa lazima kufanyike mabadiliko hasa ya kifikra ndani ya chamaHivi wabongo tukoje?? Jumba hili alienda kulikagua aliyekuwa rais wa awamu ya tano marehemu JPM(R.I.P.) na ilitangazwa na kuoneshwa na vyombo mbalimbali vya habari. Cha ajabu hatukuona malalamiko ya aina yoyote. JPM ameondoka kelele kibao. Ilikuwa ni uoga au ni unafiki unazingua?
Naona umetema ung'eng'e balaa,si ungekua tu mwalimu wa mwendazake maana kwake ulikua mashikoro mageniLogically, usiishie kuuliza chama na mfumo. Uliza pia: Wametoka nchi gani!??? Bara gani!??? Sayari gani!??? Your thinking capacity can be rightly likened to a sinking defective capacitor.
Chama kipi,hiki cha kuwaza election badala ya generation!?.Mkuu huku kujengeana majumba ni utaratibu tu(sina uhakika kama upo kwenye katiba), Haya yote yote hayalisaidii taifa lazima kufanyike mabadiliko hasa ya kifikra ndani ya chama
Hakuna aliyewakataza kula,ila wajue kula na kipofu,Mfano kuna ulazima gani wa kuwajengea au kuendelea kuwalipa mshahara kwa taifa lilojaa madeni na upungufu wa huduma za kijamii?Ata wastaafu ni raia, wacha wale mema ya nchi, hayo ndio mafao yao
haha bullshit. bara na nchi havikufanyi uwe low end unproductive leader. mfumo.Logically, usiishie kuuliza chama na mfumo. Uliza pia: Wametoka nchi gani!??? Bara gani!??? Sayari gani!??? Your thinking capacity can be rightly likened to a sinking defective capacitor.
Ulazimaa upo na ndio maana wanalipwaaa hivyo wanavyolipwa, ile ni top job ata baada ya kumaliza mda wako uwezi kuwa sawa ni watu wengine, hivyo baasi hiko unacholazimisha hakipoHakuna aliyewakataza kula,ila wajue kula na kipofu,Mfano kuna ulazima gani wa kuwajengea au kuendelea kuwalipa mshahara kwa taifa lilojaa madeni na upungufu wa huduma za kijamii?
mtajuana wenyewe maccmBila kupepesa macho hapa nainyooshea kidole CCM,ambacho mimi ni mshabiki wake.
Tatizo ni nini hasa? mmekosa washauri? hamna tena watu wa kuona mbali japo hatua hata mia moja!?
Hivi kwanini kushiba/kushibishana nyinyi tu?
NAKIRI hatuna upinzani madhubuti lakini kisiwe kigezo cha kuwanyanyasa wananchi.
Mfano huu utaratibu wa kujengeana nyumba,kupeana mizawadi ya gharama,mtu kuendelea kupokea mshahara licha ya kuwa amestaafu wakati vijiji kama mtimbwilimbwi, mawindi,isunula,nakopi, ndechela nk havina huduma muhimu ni aibu.
KWA hali ilivyo sasa nilitegemea chama kijikite zaidi kwenye kuisimamia serikali iboreshe huduma za kijamii na sio kuitafuna nchi.
WANANCHI tunajitahidi kufanya kazi lakini serikali inatuangusha kwa kutapanya kile tunachochangia
Asanteni,
NB:TUNAHITAJI FIKRA MPYA ZA KUNUFAISHA TAIFA CCM sasa imezeeka