kunze JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 400 Reaction score 472 Jul 14, 2018 #1 Nimekutana na tangazo hili nikaona kumbe Tanzania yetu ni nchi ya haki sawa Kwa wote. Yaani Hawa zamani tuliwadharau ila sasa serikali inawajali. Hongereni sawa walevi wote
Nimekutana na tangazo hili nikaona kumbe Tanzania yetu ni nchi ya haki sawa Kwa wote. Yaani Hawa zamani tuliwadharau ila sasa serikali inawajali. Hongereni sawa walevi wote
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Jul 14, 2018 #2 Hapa Itakuwa Rombo