TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Nimeona Hii Video ya Mwanasheria Akiwajulisha Wananchi Juu ya Haki zao Mbele ya Polisi. Kwa Maoni yangu Hii Ni Video ya Muhimu sana Kila Mtanzania Kuisikiliza, Hasa Katika Hali ya Nchi ilivyo sasa ya Unyanyasaji nchini.