Brilliant internationary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 301
- 193
Endeleeni na ngoma za jadi mtakuwa wa kwanza kitaifa. Elimu sio kukata viuno !!! Ng'ombe akipelekwa machungani, akagoma kula zawadi yake ni kifo !!!Mpaka mnyooke kazi mmeomba wenyewe halafu kila mwaka mkoa wa mwisho, mnafundisha nini? Siku ya mshahara wa kwanza kwenye Atm sasa ngoja muone joto ya jiwe. Ingekuwa private usingelalamika
Mmeshindwa kujisimamia sasa ngoja msimamiwe, mmeshindwa kuandaa mpngokazi wa kufundisha vijana wafaulu sasa hivi ngoja mpangiwe na msimamiwe uekelezaji wake wavivu wakubwa ninyi. Tunawaleta watoto shule mnawaaribia maisha hamfundishi kila siku udhuru mara nauguliwa mara sijui nini , mmegeuka wanaharakati usiku kucha mpo space Twitter sasa ngoja muone cha mtemakuni punda haendi bila ya vibokoEndeleeni na ngoma za jadi mtakuwa wa kwanza kitaifa. Elimu sio kukata viuno !!! Ng'ombe akipelekwa machungani, akagoma kula zawadi yake ni kifo !!!
Kama ulizaa punda utasaidikaje ? Tangu lini punda akajisimamia... Ataenda kipundapunda tu !!! Uzae punda halafu utarajie akae na kutulia mezani... Ndoto hizo !!Mmeshindwa kujisimamia sasa ngoja msimamiwe, mmeshindwa kuandaa mpngokazi wa kufundisha vijana wafaulu sasa hivi ngoja mpangiwe na msimamiwe uekelezaji wake wavivu wakubwa ninyi. Tunawaleta watoto shule mnawaaribia maisha hamfundishi kila siku udhuru mara nauguliwa mara sijui nini , mmegeuka wanaharakati usiku kucha mpo space Twitter sasa ngoja muone cha mtemakuni punda haendi bila ya viboko
Usipige kelele kazi ya ualimu ni ya wito, kama ulikimbilia mkopo wa bodi na hukua na wito sasa hivi utaupata huo wito kwa lazima utake usitakeKama ulizaa punda utasaidikaje ? Tangu lini punda akajisimamia... Ataenda kipundapunda tu !!! Uzae punda halafu utarajie akae na kutulia mezani... Ndoto hizo !!
Na ndio washirikina wakuu wakati wa uchaguzi kuangusha wapinzani.Mpaka mnyooke kazi mmeomba wenyewe halafu kila mwaka mkoa wa mwisho, mnafundisha nini? Siku ya mshahara wa kwanza kwenye Atm sasa ngoja muone joto ya jiwe. Ingekuwa private usingelalamika
Na wewe unaleta ugoro gani hapa? Ndio madhara ya kuvuta bhangi kabla ya bsleh ikili inakuwa imeshavurugika tofauti ya ubongo na makamasi hskuna vyote vipo kwenye cerebellum. Unafikiri kila mtu anawaza siasa mbofumbofu? Peleka ujinga wako na upinzani wako sijui unapinga niniNa ndio washirikina wakuu wakati wa uchaguzi kuangusha wapinzani.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Usipige kelele kazi ya ualimu ni ya wito, kama ulikimbilia mkopo wa bodi na hukua na wito sasa hivi utaupata huo wito kwa lazima utake usitake