Kweli kabisa hata nikiibiwa nitakuwa na amani kuliko Hii dhurumaACHA TU NIENDELEE KUZIWEKA KWENYE KIBUBU.DHURUMA NJE NJE WAKUU
Kwa nini waliruhusiwa kufanya biashara ilhali hawana mtaji unaotakiwa na BOT? Wanacheza na pesa za watanzania.Zile hazikifikisha huo mtaji wa bilioni 5 ndiocmaana zilifungwa, si kwamba zilifilisika.
Bank za nje kama KCB,Exim,Nk ziko Salama wakifilisika unaenda main branch kwenye nchi zao unachukua hela yako hizi Saccoss bank ikifilisika ndo mazima kilio.Kumekuwa na taarifa zisizo rasmi kwamba hali ya taasisi zetu za kifedha sio nzuri, nakuchangia baadhi ya taasisi zisizo fanya vizuri kufungwa na serikali bila kutoa maelezo ya kina juu ya fedha za wananchi zilizowekwa kwenye taasisi hizo. Hofu yangu ni kuhusu usalama wa fedha zetu kwenye benki hizi zingine, Je uko salama? Itakuwaje siku ukisikia benki nyingine zimefungiwa?
Kuweni makini msitegemee sana hizi taasisi, siku utakuja lia, mimi kwasasa siweki tena fedha benki mpaka awamu hii ya tano itakapotoka madarakani.
Kama hawakufirisika mbona gavana wa Bank kuu aliwambia wenye amana zaidi ya 1.5m watalipwa kiwango kisichozidi 1.5m?Zile hazikifikisha huo mtaji wa bilioni 5 ndiocmaana zilifungwa, si kwamba zilifilisika.
Sheria ilikuja kubadilika wakati benki zimeshapewa kibali, mwanzo ilikuwa 200mil, baadae wakabadili hadi billion 5, na wakapewa miaka mi5 kukuza mtaji hadi bil5 lakini wakashindwaKwa nini waliruhusiwa kufanya biashara ilhali hawana mtaji unaotakiwa na BOT? Wanacheza na pesa za watanzania.
Bank huwa hawakai tu na pesa kama mayai, huwa wanazikopesha, sasa unapoifungia ghafla inabidi kwanza ulipwe 1.5m then madeni yakiiva na kukusanywa mnalipwa zilizobaki.Kama hawakufirisika mbona gavana wa Bank kuu aliwambia wenye amana zaidi ya 1.5m watalipwa kiwango kisichozidi 1.5m?