umenifurahisha zamani wazee walikuwa wanatanguliza mzigo kwanza nyumbani,siku hizi kwa kweli hakuna maadili si wanaume wala wanawake hakuna adabu,wacha wawatwange risasi tu watanyooka,mimi yalishanikuta naelewa inavyokuwa,kama sikumtwanga risasi mwingine lazima atamtwanga tu risasi labda aamue kuishi mwenyewe,usiombe ukaishi na mwanamke baadae ukagundua ni mnafiki.