marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Mfano kama na kenyewe kangekutunza..ungesepa?? Usingekatunza pia??Mimi huwa nawagonga nawabanjua then nawatema nasepa mbele...
Nikiona kanamke kanalalamika sikatunzi, ***** nakabanjua nakatema natafuta mwingine...
Kenyewe kanabaki hapo kanagalagala tuu..
Heheheheee za kuku hao.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Wachaa...unawabanjua wamekuwa korosho?!Mimi huwa nawagonga nawabanjua then nawatema nasepa mbele...
Nikiona kanamke kanalalamika sikatunzi, ***** nakabanjua nakatema natafuta mwingine...
Kenyewe kanabaki hapo kanagalagala tuu..
Heheheheee za kuku hao.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Sasa wewe una hela au huna???Haya husemwaga sana na wasio na hela blaa blaa nyingi
Kila mmoja ana nafasi yake katika kumtunza mwenzie...ila mkianza mahusiano kisha pale mwanzo mwanzo ukajitia umeingia na swagga za ATM ujue huko mbele umejitengenezea matatizo mwenyewe...
Wanawake wachache sana(kama mimi[emoji4]) ambao hatu-rely on a man's pocket. Ukinipa fresh usiponipa fresh..
Hahah..mkuu unadada kweli? Km huna basi tegemea kupata mtoto WA kike ili papuchi yake ije igeuzwe ya mazoeziMimi huwa nawagonga nawabanjua then nawatema nasepa mbele...
Nikiona kanamke kanalalamika sikatunzi, ***** nakabanjua nakatema natafuta mwingine...
Kenyewe kanabaki hapo kanagalagala tuu..
Heheheheee za kuku hao.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Na wewe kutoa vp??Kila mmoja ana nafasi yake katika kumtunza mwenzie...ila mkianza mahusiano kisha pale mwanzo mwanzo ukajitia umeingia na swagga za ATM ujue huko mbele umejitengenezea matatizo mwenyewe...
Wanawake wachache sana(kama mimi[emoji4]) ambao hatu-rely on a man's pocket. Ukinipa fresh usiponipa fresh..
Pesa ya mwanamke inatumika kwa kazi gani hapo??Tabia pia zinarithi ukiwa kicheche (KE/ME) basi usitegemee baadae unasema sasa hivi nimeamua kulea familia yangu mtoto awe na malezi bora. Malezi bora ya mtoto yatatokana na umalaya/ ukicheche unaoufanya mzazi sasa (mtoto wa nyoka ni nyoka).
Nikirudi kwenye mada: mwanaume hata ukilipwa laki1 mkeo akilipwa milioni 10. Ni jukumu la mwanaume kulea familia yake
Natekeleza majukumu yangu kulingana na nafasi yangu...[emoji5] [emoji5] .Panapohitaji kutoa pesa natoa,otherwise nafanya kinachostahiki kwa wakat uleNa wewe kutoa vp??
Mwanamke akiamua kukusaidia hata 1,000 Tshs lakini jukumu la kuitunza familia ni mwanaume. Pesa yake ni maamuzi yake akupe au asikupe lakini mwanaume wewe ni jukumu lako. Mwanaume usikimbie majukumu yako na kama haujakuwa tayari kuwa na majukumu usijiingize hukoPesa ya mwanamke inatumika kwa kazi gani hapo??
Hapo sawa.Natekeleza majukumu yangu kulingana na nafasi yangu...[emoji5] [emoji5] .Panapohitaji kutoa pesa natoa,otherwise nafanya kinachostahiki kwa wakat ule
Mm si kwepi..yeye ana kipato na mm nina kipato..tena umetoa mfano wa yeye kuwa na kipato zaidi ya mwanaume...kama kuchangia ni hiari yake si afadhali mda huo anaotumia kufanya kazi zake akae ndani alee watoto kuliko watoto kulelewa na hausigirl..ili mwanaume afanye kazi na mama awe mama wa nyumbani.Mwanamke akiamua kukusaidia hata 1,000 Tshs lakini jukumu la kuitunza familia ni mwanaume. Pesa yake ni maamuzi yake akupe au asikupe lakini mwanaume wewe ni jukumu lako. Mwanaume usikimbie majukumu yako na kama haujakuwa tayari kuwa na majukumu usijiingize huko
Sawa. Maamuzi ni yako unayomamlaka ya kumzuia asifanye kazi na asiende sehemu hata kwenye sherehe.Mm si kwepi..yeye ana kipato na mm nina kipato..tena umetoa mfano wa yeye kuwa na kipato zaidi ya mwanaume...kama kuchangia ni hiari yake si afadhali mda huo anaotumia kufanya kazi zake akae ndani alee watoto kuliko watoto kulelewa na hausigirl..ili mwanaume afanye kazi na mama awe mama wa nyumbani.