Haki itacheleweshwa tu lakini itapatikana

Haki itacheleweshwa tu lakini itapatikana

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
546
Reaction score
1,114
Zimebaki siku kadhaa kuelekea kutafuta HAKI. Bila shaka muda huu upande wa mashtaka wanapanga namna ya kupeleka maombi ya kupeleka mbele kesi. Wanafanya hivyo kwa sababu waendesha mashtaka hawana ubavu wa kukataa maombi yao, isipokuwa wana ubavu wa kukataa maombi yote ya mshtakiwa.

Rai yangu ni kwamba, watoa HAKI jiepusheni na UONEVU huu. Toeni HAKI kwa pande zote na kwa usawa. Ipo siku kila mmoja atahesabiwa maovu yake yote aliyoyafanya wakati wa utumishi wake na atalipa mpaka senti ya mwisho.
Haiwezekani maombi yanayokataliwa ni ya mshtakiwa tu, lakini maombi yote ya upande wa mashtaka yanakubalika kila siku ya shauri.
 
Back
Top Bottom