SAMAHANI KIDOGO..
Nimejaribu kuchunguza kuhusu uvaaji wa "Tight" au zile chupi za Kubana Kwa dada zetu nikagundua wanawake wengi wa kizungu hawavai hii kitu kama sisi weusi..wao ni chupi tena Mara nyingi ni bikini..!
Sasa cjui zina nini kwao...na kwetu he?