Habari za mwisho wa mwezi?
Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.
Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?[/ QUOTE]
Huna kosa.
Habari za mwisho wa mwezi?
Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.
Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?
Sasa hili nalo la kuomba Ushauri?seriously?
Sasa hili nalo la kuomba Ushauri?seriously?
Hivi mbona ulituacha kwenye mataa na zawadi?
au ulitaka tu tukuandalie menu utumie kwako,
au zawadi ilishatolewa mi sina taarifa?
Mbona we nikishakuambia nitafute nna zawadi yako ukauchuna?
Mmmh mi ndo mshindi au teh teh...
si umwambie?au kila siku akiomba mwambie sina,mwisho ataelewa tu.mbona ni simple