Haka kamsemo huwa sikaelewi!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,889
Reaction score
29,694
Eti mapenzi yamezaliwa TANGA. Kivipi? Nahitaji majibu kwa wanaosema hivyo.
 
Ushawahi kusikia "muwamba ngoma huvutia kwake"?

Wa Mrima husema ni zaidi ya Mvita, wa Mvita husema ni zaidi ya Barawa, na wa Unguja husema ni zaidi ya wote , huku wa Oman husema ni zaidi ya Unguja na wa Bombay husema ni zaidi ya Oman.
 
karibu Tanga Karibu Sana Heri Kujionea Kuliko Kusimuliwa Utakosa Mengi Mno Mazuri Na Vitamu Pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…