Haka kako fresh, inshort kanafaa

Tafuta za wabongo wenzetu.

Angejua hawa wazungu huwa wanatumia picha zetu pale wanapotaka kueleza shida za dunia wala asingethubutu kutumia haya mapicha ya hovyo kbs
 
Isitoshe huyu mdada ni hatari sana...anaitwa Kalisi..Mother of dragons...anamiliki dragons.watatu...mume wake na mtoto wake waliuliwa hapo akikuchekea ivo kimbia...
 
mbona mimi nimekaogopa ghafla aiseee;(
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…