M Mfurukwinyu New Member Joined Nov 1, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Nov 1, 2012 #1 Tafadhalini wana JF,naomba mnikaribishe kwa mikono miwili. Nimekapenda sana haka kaeneo ambako naweza kupigia chafya na kukohoa kidogo. Yote ni katika kusukuma gurudumu letu la maendeleo. Nikaribisheni tafadhali...
Tafadhalini wana JF,naomba mnikaribishe kwa mikono miwili. Nimekapenda sana haka kaeneo ambako naweza kupigia chafya na kukohoa kidogo. Yote ni katika kusukuma gurudumu letu la maendeleo. Nikaribisheni tafadhali...
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,326 Reaction score 2,902 Nov 1, 2012 #2 Karibu sana jamvini. Uwe na tahadhari na hizo chafya, sio kila mahala waweza piga chafya na kujamba.
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,913 Reaction score 1,034 Nov 1, 2012 #3 Karibu sana humu ndani.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,801 Reaction score 110,020 Nov 4, 2012 #4 JF yakukaribisha sana
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 Nov 5, 2012 #5 Karibu mgeni jamvini.
M mama mjasiriamali Member Joined Nov 5, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Nov 5, 2012 #6 Kweli jamii forum inafaa kwa watu wote maana kuna mafunzo mazuri. Nikaribisheni nami ninufaike.
K kisilo Senior Member Joined Oct 19, 2012 Posts 121 Reaction score 30 Nov 5, 2012 #7 Waooooooooooooooooooooooooo.karibu kiti.
M mama mjasiriamali Member Joined Nov 5, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Nov 5, 2012 #8 Asante. Nategemea nitajifunza mengi na hali yangu itabadilika kiuchumi.
Nicole JF-Expert Member Joined Sep 7, 2012 Posts 4,274 Reaction score 2,523 Nov 5, 2012 #9 Karibu jamvini,unatumia kinywaji gani? mama mjasiriamali said: Asante. Nategemea nitajifunza mengi na hali yangu itabadilika kiuchumi. Click to expand...
Karibu jamvini,unatumia kinywaji gani? mama mjasiriamali said: Asante. Nategemea nitajifunza mengi na hali yangu itabadilika kiuchumi. Click to expand...
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,150 Reaction score 28,627 Nov 5, 2012 #10 Wakaribishwa...
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,358 Reaction score 100,385 Nov 5, 2012 #12 Usipakojoleee tu
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 56,746 Reaction score 46,268 Nov 6, 2012 #13 Karibt sana.