Hajui uzee mwisho chalinze?

Zamani uzee ulikuwa mali, cku hizi hamna kitu ndo mana watu hawataki kuzeeka au kuitwa wazee.
 
Zamani uzee ulikuwa mali, cku hizi hamna kitu ndo mana watu hawataki kuzeeka au kuitwa wazee.

Hii slogan ni ya kipuuzi mno halafu inadhalilisha uzee halafu wazee wenyewe wapo kimya tuu
 
hahhaha aisee namfananisha na member mmoja humu jf
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…