hajui lugha ya mapenzi


mkuu kila kitu ni kipaji cha mtu huwezi kumlazimisha mtu akubali jinsi alivyo
 
mimi nipo kwenye ndoa miaka kumi na tatu sasa na mke wangu ndio sampuli nimempuuza tu watu wengine nyege zao zipo afrika kusini.
 
ina maana hakumfahamu kabla ya kuoana? i mean hawakuwa marafiki hapo kabla, au ndo zile za tutaduu baada kufunga ndoa? anatakiwa amfahamu mkewe jamanii..
 
mwambie mambo mazuri hayataki haraka aende nae taratibu tu coz haya mambo ili uenjoy ni lazima uweke presha pembeni,pia anatakiwa kuijua sehemu ambayo akimshika tu mkewe atanyegeka na ataomba mchezo mwenyewe.
kama vipi amfundishe mkewe hizo lugha za mapenzi!
onyo: asije akachukua nyumba ndogo akidhani atatatua tatizo coz mwanaume hakimbii tatizo bali anatumia akili kutatua tatizo.
 
wakuu michango zaidi basi maana hapa nimeanza kupata some clues na jamaa nimemwambia tukutane kwangu aje kucheki uefa then I hope to talk to him at that time so please guys.
 

thanx mkuu 4 the useful clues,ntajaribu kumwambia afanye evaluation ya maisha yao b4 that yalikuwaje kabla ya haya kujiri na their current life style then labda ndio nitaweza kuestablish ground za kutoa ushauri japo kidogo
maoni zaidi ya wadau yanahitajika.
 
Achukue plain papers amuandikie mahitaji yake yote ya mapenzi na mahaba.
 
Ivi kwa mambo kama haya ntaoa kweli....? dah!:confused2:
 
Ivi kwa mambo kama haya ntaoa kweli....? dah!:confused2:

kwa nini usioe mkuu?? hizi changamoto hazipo constant na pia kama umri unaruhusu why not?? mie nadhani matatizo na changamoto nyingi za ndoa zinatatuliwa na wanandoa wenyewe sao if you'll stand strong nothing can stand your way
 
Mkuu baathi ya wanawake hasa ninaokutana nao ni complex sana, i.e unaemwamini haaminiki, unaempenda hajali, unaemshauri hashauriki... basi full tabu.
 
si amwambie ukweli au amleete move za kimahaba aone wenzake wanavyo chokoza kimahaba naye apate kujifunza
 
Kwani, walikutana vipi, au wapi na walikaa muda gani katika mapenzi kabla hawajaoana? Mambo mengine kama unasimulia mtu ni ajabu sana! Angesema hapiki, au hafui nguo hicho ni kitu kingine kwamba wanawake wanabadilika. Lakini kumuomba k hadi ulie? Kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…