Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,269
- 1,107
then mwambie atoe verbal request. mbona solution ipo halafu yeye anajivunga..... jamb atoe verbal request ndio apewe mzigo!(eti my dia naomba p***i! Kidogo nicheke wakati nasimuliwa)
anasema leo ni siku ya 13 tangu mara ya mwisho apewe mzigo. ....
bagamoyo kuna genye eeeh?
yaani ukienda bagamoyo au zanzibar unakuwa willing kuduu au kuna nini sielewi?
kwa ninio usingemwambia wahame room kwao waende gesti jirani hapo?
huyo mwanamke ana matatizo ya hormone au anamegwa njemkuu lengo la kufikiria kumshauri hv ni kubadili atmosphere ie kucreate romantic atmosphere in new environment btn the 2 of them rather than being in the areas that are common 2 them hoping kuwa hii itaweza kuamsha hisia nyingine.
Huyu kaka anaweza kuwa ndie hana swaga, kwani wanaume wengine swaga za kuazima kwa jirani. Pia muulize hivi alinunua nzima nzima kama soda au bia kabla ya kuoa hakujaribu au hata kusoma expire date. Kama ndivyo mwambie huyo mwanamke nae ana mshangao kukutana na mme kama yeye ila aendelee kulazimisha hadi atakapo pata feelings za mume na kujua utamu wa mapenzi then itakuwa historia. Hope nimechangia
Just simple....amfundishe lol
Mwambie avunje ukimya.. siwezi ku imagine kama jamaa ana mdomo mzito kiasi cha kushindwa kumwambia baby natamani hivi au vile.... (HADI AENDE BAGAMOYO AU ZANZIBAR kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii........ mbona sasa wataenda saaaanaaaaa)
Shaurile ..ngoja wazee wenzie wamsaidie lol.
nilimuuliza the very question akanambia kuwa mwanzoni alikuwa anasoma hizo alama na kutoa full collabo ila anashangaa cku za hv karibuni na ndio hapo hata mie nilishindwa kumpa ushauri wa 1 kwa 1