M mayaJr45 JF-Expert Member Joined May 12, 2016 Posts 560 Reaction score 205 Jun 4, 2016 #1 Kocha mbishi kaweka Uyanga na Usimba .Shabalala yupo vizuri kuliko Haji.Matokeo yake kayapata leo. Ila tumefungwa wote japo ushauri uzingatiwe
Kocha mbishi kaweka Uyanga na Usimba .Shabalala yupo vizuri kuliko Haji.Matokeo yake kayapata leo. Ila tumefungwa wote japo ushauri uzingatiwe
babake nasreen JF-Expert Member Joined Oct 30, 2014 Posts 703 Reaction score 492 Jun 4, 2016 #2 mayaJr45 said: Kocha mbishi kaweka Uyanga na Usimba .Shabalala yupo vizuri kuliko Haji.Matokeo yake kayapata leo. Ila tumefungwa wote japo ushauri uzingatiwe Click to expand... Cyo lazima uanzishe topic unaweza changia tuu kwa wengine.
mayaJr45 said: Kocha mbishi kaweka Uyanga na Usimba .Shabalala yupo vizuri kuliko Haji.Matokeo yake kayapata leo. Ila tumefungwa wote japo ushauri uzingatiwe Click to expand... Cyo lazima uanzishe topic unaweza changia tuu kwa wengine.
babumapunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,644 Reaction score 3,328 Jun 4, 2016 #3 sio mahala pake huku
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,642 Jun 4, 2016 #4 Anajaribu Kututoa Kwenye Reli
R Rio Tinto JF-Expert Member Joined Sep 18, 2014 Posts 777 Reaction score 452 Jun 4, 2016 #5 Mada za kisengerema hizi
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,844 Reaction score 10,768 Jun 4, 2016 #6 mayaJr45 said: Kocha mbishi kaweka Uyanga na Usimba .Shabalala yupo vizuri kuliko Haji.Matokeo yake kayapata leo. Ila tumefungwa wote japo ushauri uzingatiwe Click to expand... Kwa hiyo isingekuwa Hasji Mwinyi tungewachapa leo
mayaJr45 said: Kocha mbishi kaweka Uyanga na Usimba .Shabalala yupo vizuri kuliko Haji.Matokeo yake kayapata leo. Ila tumefungwa wote japo ushauri uzingatiwe Click to expand... Kwa hiyo isingekuwa Hasji Mwinyi tungewachapa leo
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,059 Jun 4, 2016 #7 Sio muda wa kumtafuta mchawi nani timu yenyewe inajulikana tia maji tia maji Waarabu pia wanajulikana kazi yao
Sio muda wa kumtafuta mchawi nani timu yenyewe inajulikana tia maji tia maji Waarabu pia wanajulikana kazi yao
theHAVARD_product JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 297 Reaction score 211 Jun 4, 2016 #8 Haji Mwinyi alistahili kutoka kabla ya dk 15 za mchezo. Mkwasa naye hana kipya.
M mayaJr45 JF-Expert Member Joined May 12, 2016 Posts 560 Reaction score 205 Jun 4, 2016 Thread starter #9 theHAVARD_product said: Haji Mwinyi alistahili kutoka kabla ya dk 15 za mchezo. Mkwasa naye hana kipya. Click to expand... hii imeshazungumzwa sana sijui kwanini mkwasa halisikii
theHAVARD_product said: Haji Mwinyi alistahili kutoka kabla ya dk 15 za mchezo. Mkwasa naye hana kipya. Click to expand... hii imeshazungumzwa sana sijui kwanini mkwasa halisikii
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,658 Jun 4, 2016 #10 Msitafute mchawi, ukweli ni kwamba tulizidiwa muda wote, Na ukweli ni kwamba hatuingii kwa kiwango cha Misri, Hebu niende kwenye mada za Baba Jesca mie
Msitafute mchawi, ukweli ni kwamba tulizidiwa muda wote, Na ukweli ni kwamba hatuingii kwa kiwango cha Misri, Hebu niende kwenye mada za Baba Jesca mie