Haji Manara Zaidi ya,Digiriii

Haji Manara Zaidi ya,Digiriii

gugumaji

Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
25
Reaction score
19
Huyu ni msemaji wa Klabu kongwe Tanzania,iliyozaliwa kutoka Kwa Watani zao wa Jadi..kiukweli mimi sijui elimu yake nasema ninachokiona na kuishi

Nina mambo mawili au Matatu kumhusu Manara

*Wasomi wanaona wivu kwa kipaji chake

*Afisa Masoko aliyeshinda wasomi wengi
Kuinadi simba hapa wenye utaalam mtajazia

*Maarifa yake kama katoka Havard University sina unazi ni mtazamo tu unaruhusiwa kunipinga.
 
Pamoja na kazi kubwa anayoifanya lkn nahisi kiti alichokalia si sahihi... Nadhani kuna position ambayo angewekwa ingefiti kufanya anachofanya.. He is doing great but I don't think if he deserves to be a spokesman
 
Japo mm ni Shabiki wa Wananchi Kindakindaki ila ukweli na usemwe anafanya vizuri sana ktk Promo,anagusa hisia za mashabiki wa timu yake,mashabiki wanamsikiliza na kutii anachokisema,anaipaisha brand ya Mikia kwa kasi,anajiamini na kuiamini timu yake kupita kiasi..nk nk japo kuna sehem huwa anafeli lakini positive ni nyingi zaidi kuliko negative..Hongera Vuvuzela la Mikia

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Ukitaka awe nani.
Mue nadhani anatakiwa kuhania CCM kuwa katibu mwenezi.
Tatizo lake dogo tu anajusahau anajukuta anakiromea hata wale anaowahamasisha.
 
Kupiga domo nako kunaitaji degree?Katoka jamii ya pwani maneno ndio jadi yao walimsema mwizi mpaka akafariki..Na msemaji mwenye kipaji kuliko wote ni Masau Bwire tu
 
Yule ni mropokaji tuu inashangaza unakuja na thread ya kumsifia, Hana busara , Hana hekima
 
Kweli ila ina ukakasi kuwachanya kabisa
Japo mm ni Shabiki wa Wananchi Kindakindaki ila ukweli na usemwe anafanya vizuri sana ktk Promo,anagusa hisia za mashabiki wa timu yake,mashabiki wanamsikiliza na kutii anachokisema,anaipaisha brand ya Mikia kwa kasi,anajiamini na kuiamini timu yake kupita kiasi..nk nk japo kuna sehem huwa anafeli lakini positive ni nyingi zaidi kuliko negative..Hongera Vuvuzela la Mikia

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Huyu ni msemaji wa Klabu kongwe Tanzania,iliyozaliwa kutoka Kwa Watani zao wa Jadi..kiukweli mimi sijui elimu yake nasema ninachokiona na kuishi

Nina mambo mawili au Matatu kumhusu Manara

*Wasomi wanaona wivu kwa kipaji chake

*Afisa Masoko aliyeshinda wasomi wengi
Kuinadi simba hapa wenye utaalam mtajazia

*Maarifa yake kama katoka Havard University sina unazi ni mtazamo tu unaruhusiwa kunipinga.

Kwani aliyekuambia na kukudanganya kuwa ili ufanikiwe duniani ni mpaka uwe Msomi sana? Acha Ushamba na muhimu ni Uwezo wa Mtu na siyo Elimu yake ya Kukaririshwa huko Vyuoni. Wazungu huku walishatoka Kitambo sana na Wao sasa Kipaumbele ni Kipaji na Ubunifu wa Mtu.
 
Huyu ni msemaji wa Klabu kongwe Tanzania,iliyozaliwa kutoka Kwa Watani zao wa Jadi..kiukweli mimi sijui elimu yake nasema ninachokiona na kuishi

Nina mambo mawili au Matatu kumhusu Manara

*Wasomi wanaona wivu kwa kipaji chake

*Afisa Masoko aliyeshinda wasomi wengi
Kuinadi simba hapa wenye utaalam mtajazia

*Maarifa yake kama katoka Havard University sina unazi ni mtazamo tu unaruhusiwa kunipinga.
Ana lugha za matusi, ana chuki, tapeli na pia ni mwongo sana UPO hapo wewe jamaa yake
 
Yule mropokaji tu. Tatizo mashabiki mpo vilaza ndo maana hamuoni tatizo. Hana professionalism kabisa.
 
Mimi sitaki kumsema vibaya ila anaichukia sana timu ya Yanga. Alitakiwa mtu asiegemea upande wotewote. Hataki kuona mafanikio katika timu ya Yanga.
 
Kwani kuna Mtu wa Yanga SC anapenda Kuona Mafanikio ya Simba SC? Acha Unafiki tafadhali.
 
Hafai kuwa spokeman wa timu ambayo inahitaji kwenda kwenye soka la kisasa..

Kazi ya uhamasishaji na kupiga debe anaweze..
 
Uzeruzeru ndo sababu kaachwa alipo maana ingeonekana amenyanyapaliwa
 
Back
Top Bottom