Haji Manara hatari

Ally maganga

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
1,433
913
SIMBA SPORTS CLUB
S.L.P 5555
MSIMBAZI/DSM
25 FEB 2017

T F F
S.L.P 0001
KARUME/DSM

Ndugu,
YAH; KUCHEZESHA WACHEZAJI 9

somo tajwa hapo juu lahusika, kutokana na kasi mpya ya timu ya Simba ya 4G kuzishinda timu pinzani uwanjani, tunaomba turuhusiwe kuchezesha wachezaji 9 na kipa wa 10 uwanjani. Nimatumaini yetu ombi letu litakubaliwa.

Wako katika maendeleo ya soka
Haji S. Manala
Meneja Habari na Mahusiano
SIMBA SPORTS CLUB
 
Ukiona simba mtu kapigwa nyekundu inapocheza na yanga hua simba inacheza vizuri sana. Ukiacha kadi ya mkude mwaka jana na ya bukungu jana, wachezaji wengine waliowahi pigwa kadi nyekundu lakini simba ikaibuka na ushindi ni Henry Joseph mwaka 2007 na simba alishinda mbili kwa moja, victor coster (sikumbuki mwaka) japo simba aliibuka na ushindi
 
Yanga tangu wameachana na Jerry mambo sio mazuri alikuwa anapmbana vizuri na haka kajamaa na kuleta hamasa kubwa kwa washabiki na wachezaji sasa kabaki pekeyake ..Huyu MKWASA analeta soka la kistaarabu bila mipasho na mwembwe haliwezekaniki kwa bongo.
 
Ukiona simba mtu kapigwa nyekundu inapocheza na yanga hua simba inacheza vizuri sana. Ukiacha kadi ya mkude mwaka jana na ya bukungu jana, wachezaji wengine waliowahi pigwa kadi nyekundu lakini simba ikaibuka na ushindi ni Henry Joseph mwaka 2007 na simba alishinda mbili kwa moja, victor coster (sikumbuki mwaka) japo simba aliibuka na ushindi

Ya Victor Costa ilikuwa ni 2005, Ilikuwa CCM Kirumba, Dakika za kwanza kwanza tu Victor Costa alilambwa red, na Kocha alichofanya ni kumtoa Akilimali Yahaya akaingia Christopher Alex Masawe (RIP) kuziba pengo la Victor Costa, Mwisho matokeo yalikuwa Simba 2, Yanga 0; wafungaji Emmanuel Gabriel na Musa Hassan Mgosi.
 
Kipigo kinauma. Ila kipigo ambacho 10 men wamewachachafya 11 men kinauma mara 100. Hongera zao Simba
 
sijafurahia tu ushindi wa simba bali pia nimefurahishwa na kiwango kizuri cha uchezaji burdani nzuri!!
tunahitaji ubora wa uchezaji sio ushabiki tu!!!
 
Back
Top Bottom