hivi huwa yana kaguliwa kweli?? maana mabasi yaliyo mengi ni scraper
zinazo tembea. kama mabasi ya kilombero na ifakara ni mabovu sana.
Kwenye red.Ukisema Ifakara je Ulanga,Malinyi,Mahenge ,Tnaganyikamasagati,Bilo Utapaitaje?Nafikiri wewe ujafika Ifakara eeeh.Ifaka pale uone.Nenda Ifakara Health Instute,Tanzanian Training Centre for International Health ni ulaya ndogo uwezi kosa zaidi ya watu wa mataifa 50 kila siku pale.Kwa kweli hapo umenena. Hivi Ifakara bado ni sehemu ya Tanzania?
Kujua kweli ni sehemu ya Tanzania angalia hizo picha chache utajua :Kwa kweli hapo umenena. Hivi Ifakara bado ni sehemu ya Tanzania?