haja mwona kweli

Kila kimoja kwa wakati wake, wacha tukate kiu kwanza alafu mengine yatafuata!
 
kama sio duka la picha, basi hiyo kali.
 
sikua nimeelewa Title.
kumbe ulikua unamaanisha HAJAMWONA KWELI!
 
kwakawaida tuna kunywa maji baada ya kula na kushiba, so hapo mfalme kasha shiba...
 
Huyu Pundamilia ni genious! Anajua akianza kukimbia atakimbizwa hivyo anakunywa maji taratibu akitosheka anaondoka polepole bila mfalme kumdhuru...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…