K kamkoda JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 396 Reaction score 71 Nov 13, 2012 #1 Hivi unavyokwenda kupata haja kubwa unajisikiaje? mbona wengine uwa wanalengwa lengwa na machozi?
J john hotsam da1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 396 Reaction score 79 Nov 13, 2012 #2 umewaonaje hao wengine!!?we sema mbona mimi kamkoda huwa nalengwa lengwa machozi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
GP JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 2,049 Reaction score 161 Nov 13, 2012 #3 aah wewe utakua una KONSTIPESHENI tu, kula sana mapapai kulainisha haja hiyo
Wamisosi Senior Member Joined May 22, 2012 Posts 138 Reaction score 79 Nov 13, 2012 #4 GP said: aah wewe utakua una KONSTIPESHENI tu, kula sana mapapai kulainisha haja hiyo Click to expand... matunda kwa ujumla
GP said: aah wewe utakua una KONSTIPESHENI tu, kula sana mapapai kulainisha haja hiyo Click to expand... matunda kwa ujumla
GP JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 2,049 Reaction score 161 Nov 13, 2012 #5 Wamisosi said: matunda kwa ujumla Click to expand... noted mkuu
Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 Nov 13, 2012 #6 GP said: aah wewe utakua una KONSTIPESHENI tu, kula sana mapapai kulainisha haja hiyo Click to expand... Hahaha. . .kamkoda ana contipation. . .ale bamia kwa wingi na nyanya chungu, hapo hatatoa hata chozi.
GP said: aah wewe utakua una KONSTIPESHENI tu, kula sana mapapai kulainisha haja hiyo Click to expand... Hahaha. . .kamkoda ana contipation. . .ale bamia kwa wingi na nyanya chungu, hapo hatatoa hata chozi.
I Isaack Daniel Member Joined Oct 21, 2012 Posts 21 Reaction score 0 Nov 15, 2012 #7 We huwa unajickiaje?Au ndo machozi na weweupata haja kubwa unajisikiaje? mbona wengine uwa wanalengwa lengwa na machozi?[/QUOTE]
We huwa unajickiaje?Au ndo machozi na weweupata haja kubwa unajisikiaje? mbona wengine uwa wanalengwa lengwa na machozi?[/QUOTE]
K kiparah JF-Expert Member Joined Sep 7, 2010 Posts 1,173 Reaction score 117 Nov 15, 2012 #8 hakuna starehe nzuri kama kunya, na reseach inaonyesha kuwa, ukiwa unakunya unauwezo mkubwa wa kutuliza akili na kuwaza mambo ya maana.
hakuna starehe nzuri kama kunya, na reseach inaonyesha kuwa, ukiwa unakunya unauwezo mkubwa wa kutuliza akili na kuwaza mambo ya maana.
Kichancheda Senior Member Joined Oct 29, 2012 Posts 142 Reaction score 46 Nov 16, 2012 #9 Bigbro said: hakuna starehe nzuri kama kunya, na reseach inaonyesha kuwa, ukiwa unakunya unauwezo mkubwa wa kutuliza akili na kuwaza mambo ya maana. Click to expand... kwahiyo je ukiwa unaharisha
Bigbro said: hakuna starehe nzuri kama kunya, na reseach inaonyesha kuwa, ukiwa unakunya unauwezo mkubwa wa kutuliza akili na kuwaza mambo ya maana. Click to expand... kwahiyo je ukiwa unaharisha
Wamisosi Senior Member Joined May 22, 2012 Posts 138 Reaction score 79 Nov 16, 2012 #10 Kichancheda said: kwahiyo je ukiwa unaharisha Click to expand... aahahahaaa... utakua unawaza uharo usidondokee nje ya tundu au miguun
Kichancheda said: kwahiyo je ukiwa unaharisha Click to expand... aahahahaaa... utakua unawaza uharo usidondokee nje ya tundu au miguun
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,675 Nov 17, 2012 #11 Bigbro said: hakuna starehe nzuri kama kunya, na reseach inaonyesha kuwa, ukiwa unakunya unauwezo mkubwa wa kutuliza akili na kuwaza mambo ya maana. Click to expand... kunya sio starehe bwana wee...kunja ni relief bwana.
Bigbro said: hakuna starehe nzuri kama kunya, na reseach inaonyesha kuwa, ukiwa unakunya unauwezo mkubwa wa kutuliza akili na kuwaza mambo ya maana. Click to expand... kunya sio starehe bwana wee...kunja ni relief bwana.
peoples power JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 475 Reaction score 100 Nov 17, 2012 #12 Jamani msifanye masihara na kuharisha hiyo kitu ni balaa hapo akili zote zinahama na kijasho chembamba lazima kikutoke.mbaya zaidi ni pale unapouona mlango wa choo yaani utafikili nayo yanajua kuwa yamefika kwao inakuwa ni balaa.
Jamani msifanye masihara na kuharisha hiyo kitu ni balaa hapo akili zote zinahama na kijasho chembamba lazima kikutoke.mbaya zaidi ni pale unapouona mlango wa choo yaani utafikili nayo yanajua kuwa yamefika kwao inakuwa ni balaa.
L Loli Senior Member Joined Oct 17, 2012 Posts 176 Reaction score 75 Nov 18, 2012 #13 Hahahahaaa! Uuuwiii.. Eti unalengwalengwa na machozi! Wakati mie chooni kuna Magazeti ya stori taaam, unananiliu huku unasoma gazeti!!
Hahahahaaa! Uuuwiii.. Eti unalengwalengwa na machozi! Wakati mie chooni kuna Magazeti ya stori taaam, unananiliu huku unasoma gazeti!!
L Loli Senior Member Joined Oct 17, 2012 Posts 176 Reaction score 75 Nov 18, 2012 #14 Hahahahaaa! Uuuwiii.. Eti unalengwalengwa na machozi! Wakati mie chooni kuna Magazeti ya stori taaam, unananiliu huku unasoma gazeti!!
Hahahahaaa! Uuuwiii.. Eti unalengwalengwa na machozi! Wakati mie chooni kuna Magazeti ya stori taaam, unananiliu huku unasoma gazeti!!
S Sunga Member Joined Mar 22, 2012 Posts 89 Reaction score 22 Nov 18, 2012 #15 Atakua amekula kande ngumu!
L Loli Senior Member Joined Oct 17, 2012 Posts 176 Reaction score 75 Nov 18, 2012 #16 Hahahahaaa! Uuuwiii.. Eti unalengwalengwa na machozi! Wakati mie chooni kuna Magazeti ya stori taaam, unananiliu huku unasoma gazeti!!
Hahahahaaa! Uuuwiii.. Eti unalengwalengwa na machozi! Wakati mie chooni kuna Magazeti ya stori taaam, unananiliu huku unasoma gazeti!!
Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,242 Reaction score 1,429 Nov 18, 2012 #17 Bigbro said: hakuna starehe nzuri kama kunya, na reseach inaonyesha kuwa, ukiwa unakunya unauwezo mkubwa wa kutuliza akili na kuwaza mambo ya maana. Click to expand... nimecheka saaaaaana
Bigbro said: hakuna starehe nzuri kama kunya, na reseach inaonyesha kuwa, ukiwa unakunya unauwezo mkubwa wa kutuliza akili na kuwaza mambo ya maana. Click to expand... nimecheka saaaaaana